
UJUMBE KWA (RASMUS PALUDAN) ALIYECHOMA KURANI
Description
Natumai kwamba wewe, na Wasweden wengine wote kwa jambo hilo, mtachukua muda kusoma Quran kweli ili kuelewa ujumbe wake. Ni kitabu kwa ajili ya wanadamu wote na ujumbe kwa ajili yetu sote! Imeandikwa na: Johannes Klunk (Abdullah Al Suwaidi)