HABARI KUBWA Mtazamo mpya kuhusu Quran

HABARI KUBWA Mtazamo mpya kuhusu Quran

globe icon All Languages

Description

Wanazuoni wa Kiislamu wa kizazi hadi kizazi wameifanyia kazi miujiza ya Quran. Wakapanua sana katika kubainisha sehemu za miujiza. Na wakazama katika aina za miujiza ambayo yenyewe inazidi uwezo wa kuidhibiti idadi yake… Isipokuwa miujiza hiyo ya Quran inasalia kuwa ni maalum na kutokana na miujiza hiyo huchimbuliwa mambo mapya katika kila zama. Na hivyo hivyo Quran inaendelea kuwa ni muujiza wa kila zama. Yenyewe inajisasisha daima. Jambo ambalo linathibitisha na kuonesha ushahidi ya kuwa Quran hii haitokani na mwanadamu…